Header Ads

Breaking News
recent

WATU WATATU WAMEKAMATWA KWA TUKIO LA KUPIGWA RISASI PADRI EVARIST MUSHI - ITV HABARI.

Pichani ni Padri Evarist Mushi, aliyekuwa Paroko wa Kanisa la Katoliki Minara Miwili, Zanzibar aliyeuawa kwa kupigwa risasi Feb 17, 2013. Rest in Peace (Picha na Jamii Forum).

Jeshi la polisi linawashikilia watu watatu kwa tuhuma za kuhusika na tukio la kuuawa kwa kupigwa risasi padre wa kanisa katoliki Zanzibar padre Evaristi Mushi asubuhi ya leo katika eneo la mtoni mkoa wa mjini magharibi wakati akienda kusalisha ibada katika Kanisa la Betras.

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.