Header Ads

Breaking News
recent

VIDEO: Q CHIEF AMJIBU MSANII DIAMOND BAADA YA KUFUNGUKA KWENYE XXL YA CLOUDS FM.


Kupitia kipindi cha XXL cha Clouds radio, Diamond alisikika akijibu maswala mengi yaliyokuwa yakimkabili lakini jambo mojawapo lilikuwa la kumuhusu msanii Q Chief aliyekuwa akimtuhumu katika mambo ya kishirikina.

Diamond akiwa na B12 ndani ya kipindi cha XXL ya Clouds Fm jana.
Kutokana na msanii Diamond kutoa majibu yake kupitia chombo kile kile cha habari, kuwa hajihusishi na aina yoyote ya waganga wa kienyeji na pia hahusiki na kutembelea nyota ya Q Chief, Q Chilla nae amefunguka kupitia Bongo 5, tazama vidio hiyo hapo juu.

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.