VIDEO: AK47 & DIZIZA - GAL AH BUBBLE - NI VIDEO YA MSANII KUTOKA UGANDA ILIYOJAA MAMBO YA AIBU NA KUZUA MZOZO KWA MASHABIKI.
Katika utamaduni wa utamaduni wetu wa kitanzania sijui kama video hii mpyaaa ya msanii AK47 kutoka Uganda itafaa kutizamwa na rika zote kupitia vituo vyetu vya TV.
Ndani ya ngoma hii imekopi ngoma za Kijamaica inayoonyesha wadada wakiwa nusu uchi na swagga za kimahaba huku wakinyeshewa na maji ya bomba huku wakijinyonga nyoga kimahaba.
Ndani ya ngoma hii imekopi ngoma za Kijamaica inayoonyesha wadada wakiwa nusu uchi na swagga za kimahaba huku wakinyeshewa na maji ya bomba huku wakijinyonga nyoga kimahaba.
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA