FASTJET YAKANUSHA KUNYANG'ANYWA LESENI YA BIASHARA.
Kupitia ukurasa wao wa Facebook leo Shirika la ndege nchini
la Fastje limekanusha kwa kile kilichoandikwa magezetini kuwa shirika hilo limenyang'anywa
leseni ya biashara; soma hapo chini.
"Pamoja na habari katika magezeti ya leo, biashara
ndani ya kampuni ya fastjet inaendelea kama
kawaida. Madai yanayotukabili ya kunyang'anywa leseni hayana ukweli wowote.
Tunaendelea kufanya
kazi na ndege zetu katika nchi ya Tanzania
kama kawaida na bado tunazidi kuzindua vituo vipya kama
ilivyopangwa. Huu ni uzushi wa baadhi ya watu au kampuni zenye chuki dhidi ya
kampuni ya fastjet, kusudi lao ni kudhoofisha uaminifu na kuharibu sifa za
bidhaa zetu za fastjet.
Ofisi zetu na vituo vyetu vya kuuzia tiketi bado viko wazi
kwa ajili ya bookings na Kwa tiketi zilizolipiwa pesa haitarudishwa.
Tutatoa tamko rasmi baada ya masaa machache.
www.fastjet.com
+255 685 680533 / +255 658 680533 / +255 767 00790"

Reviewed by KISHINDO TZ
on
Thursday, February 07, 2013
Rating: 5
Reviewed by KISHINDO TZ
on
Thursday, February 07, 2013
Rating: 5

No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA