Header Ads

Breaking News
recent

RAIS JAKAYA KIKWETE AONGOZA MAZISHI YA ASKOFU THOMAS LAIZER JIJINI ARUSHA. (PICHA NA SAUTI).

 Rais Jakaya  Kikwete jana aliongoza mamia ya wakazi wa jiji la Arusha katika mazishi ya aliyekuwa Askofu wa kanisa la KKKT jimbo la kaskazini hayati Thomas Laizer.

Mazishi hayo pia yalihudhuliwa na marais wastaafu, mawaziri, wabunge, viongozi wa vyama vya siasa na viongozi wa dini mbali mbali. Askofu Laizer alizikwa katika kanisa la KKKT Arusha mjini.
 MSIKILIZE RAIS JAKAYA KIKWETE KATIKA SEHEMU NDOGO YA HOTUBA YAKE.



Waandishi wa habari, mmoja wa Radio ONE na ITV (katikati) na kushoto mmiliki wa blog ya Wazalendo 25 (www.wazalendo25.blogspot.com) wakiwa katika harakati za kuchukua habari.

1 comment:

  1. dah ilikuwa nyomi ya hatari. RIP ASKOFU THOMAS LAIZER (Dr.)

    ReplyDelete

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.