POMBE YANGU - MADEE.. NI WIMBO WAKE MPYA (AUDIO).
Msanii kutoka Tip Top Connection ameachia ngoma yake mpya kwa mwaka huu
2013 ambayo iko tofauti kabsaa na vile ambavyo watu wamezoea
kumsikia.
Madee amesema kuwa ngoma hiyo ameifanya kwa staili tofauti kwasababu ameona si vibaya akafanya muziki wa kiafrika.Wimbo wa 'Pombe' amemshirikisha msanii mpya wa kundi hilo anayeenda kwa jina la Raymond,umefanyika Mj Records chini ya Marco Chali.
USIKILIZE
.

No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA