Nigeria ndio mabingwa wapya Kombe la Afrika 2013 baada ya kuilaza
Burkina Faso 1-0 katika mechi ya fainali iliyochezwa katika uwanja wa
taifa, jijini Johannesburg, Afrika Kusini.
NIGERIA YATWAA UBINGWA WA KOMBE LA MATAIFA YA AFRIKA 2013 DHIDI YA BURKINA FASO.
Reviewed by
KISHINDO TZ
on
Monday, February 11, 2013
Rating:
5
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA