MWANAMKE MFUPI DUNIANI SASA ATIMIZA MIAKA 18, PICHA ZIKO HAPA.
Kama utakuwa na kumbu kumbu mwaka jana niliandika kuhusu
mwanamke mfupi kulikowote duniani. Basi Februari
3 ametimi miaka kumi na nane.
Binti huyu JYOTI AMGA
kutoka nchini India ametimiza miaka 18 baada ya mwaka jana kuvunja rekodi ya dunia
ya Guiness kwa kuwa na urefu wa Inchi 24.7.
Anacheza na kitu cha IPOD ya APPLE. Chezea wewe!!!!!!!!!!!!!!!


No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA