Mcheza filamu mashuhuri nchini
"Ghana - Nana Ama McBrown" ambae alipata ajali ya gari
January 30, 2013, anaendelea kupata matibabu katika hospitali ya kijeshi ya huko
Abuja.
Afya yake inazidi kuwa sawa na muda si mrefu ataruhusiwa kuondoka hospitalini hapo.
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA