MSANII "2 FACE IDIBIA" NA MCHUMBA WAKE "ANNIE MACAULAY" WATANGAZA TAREHE YA KUFUNGA NDOA YAO ITAKAYOFANYIKA HUKO DUBAI.
Mchumba wa msanii 2 Face Idibia - Annie Macaulay ametangaza kupitia ukurasa wake wa Facebook kuwa tarehe ya kufunga ndoa yao ni March 3, kama unavyoona hapo chini.
Annie juzi kati alisafiri kwenda Dubai kuandaa mahali pa kufungia ndoa. Taarifa zimeeleza kuwa tayari ameshapata sehemu hiyo japokuwa bado ni siri.
Harusi hiyo itawasafirisha marafiki wachache ndugu na jamaa, ambapo inasemekana msanii 2 Face tayari amekwisha weka booking ya hotel, ikiwemo hotel maarufu duniani ya Burj Al Arab.
Mastaa waliotajwa kuruka Dubai kwenye harusi hiyo ni pamoja na Don Jazzy, D’banj, Basketmouth, Banky W, Kenny Ogungbe, Genevieve Nnaji, P-Square, Tonto Dikeh na mastaa kibao watakwea pipa kwenda Dubai kwenye harusi hiyo.

No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA