LEO NI BOB MARLEY DAY - WATU KIBAO DUNIANI WAMKUMBUKA MSANII HUYU.
Katika Tarehe kama ya leo mwaka 1945 alizaliwa mkali wa muziki wa reggae
hayati Bob Nesta Marley huko St. Ann Parish, Jamaica (February 6, 1945).
Mwaka 1963, Bob Marley na marafiki zake walianzisha kundi la Wailers, kundi ambalo lilikuwa ni tishio kwa wapinzani wao na pia kundi lililofanya vizuri sana kwenye historia ya muziki wa Reggae, liliundwa na Bob Marley, Livingston na Mclntosh, na baadae kundi hili limeongeza members ama Junior Braithwaite, Beverly Kelso na Cherry Smith.
Baadaye walizinguana na kuamua kila mmoja kufanya kazi kivyake, Bob aliendelea kufanya muziki ambapo baadaye alikuja kuuza nakala zaidi ya milioni 20 na kuvunja rekodi kimataifa.
Bob Marley alifariki mwezi Mei 11, 1981 huko Miami Florida. Mpaka sasa watu kibao wanamkumbuka kwa jumbe zake mbali mbali alizokuwa akiimba.

No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA