Header Ads

Breaking News
recent

ITV HABARI: WATU WAWILI WAUAWA KIKATILI MKOANI MARA.


Watu wawili wamefariki dunia na mmoja kujeruhiwa vibaya kwa kuchomwa visu huku mmoja ambaye ni mtoto yatima na mfanyakazi wa ndani akiuawa kikatili kwa kunyongwa na ndugu wa mwenye nyumba katika mtaa wa Kawawa katika manispaa ya Musoma mkoani Mara.

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.