ITV HABARI: WAFANYAKAZI WA KIWANDA CHA NGUO WAPOTEZA FAHAMU BAADA YA HITILAFU YA UMEME.
Wafanyakazi zaidi ya 65 wa kiwanda cha kutengeneza fulana cha Mazava
kilichopo Msamvu mkoani Morogoro wamelazwa katika hospitali ya rufaa ya
mkoa wa Morogoro, zaidi ya 30 wakipoteza kabisa fahamu, baada ya kukosa
hewa, kufuatia hitilafu ya umeme iliyotokea kiwandani hapo na
kusababisha moshi mzito.
Chanzo: ITV TANZANIA
Chanzo: ITV TANZANIA
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA