HIGH WAY (Audio) - BADSPENDERS FT. MAY C & KENEH. ISIKILIZE BONGE LA COLLABO.
Wamerudi tena Vijana toka ChugaCity na brand new joint waloipa jina HighWay wakishirikiana vema na Wanadada wawili wakali wa kuimba toka Arusha
,May C wa "RudGals" pamoja na Keneh wa "Miles Away".
Pata kusikiliza na kusupport wimbo mpya wa HighWay kwa kubofya HAPA kwa mawasiliano zaidi na Badspenders checki nao kupitia nambari +255 759 737 673 au +255 655 737 673 na nyimbo ya "Wakati" toka Badspenders walioshirikiana na Banx bofya HAPA

No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA