Header Ads

Breaking News
recent

DIAMOND ALIVYO WAPAGAWISHA MAELFU YA WATU KATIKA SHEREHE ZA MIAKA 36 YA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) MKOANI KIGOMA.

Msanii Diamond wakati akitoa burudani katika sherehe za miaka 36 ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) zilizofanyika kitaifa mkoani Kigoma tokea chama hicho kianzishwe tarehe 5/2/1977.
Maelfu ya wakazi wa Kigoma na mikoa ya jirani wakipewa burudani ya nguvu na msanii pendwa maarufu kama DIAMOND PLUTNAMZ

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mh. Jakaya Kikwete akihutubia maelfu ya watanzania katika sherehe za miaka 36 za Chama Cha Mapinduzi mkoani Kigoma.

Mama Salma Kikwete akiwasalimu wananchi waliohudhulia maadhimisho hayo mkoani Kigoma.

Katibu mkuu wa Chama Abdulrahman Kinana akitoa nasaha zake na kuwakaribisha viongozi wengine wa Chama.

Waziri wa uchukuzi Dkt. Harisson Mwakyembe akiwahakikishia wananchi wa mkoa wa Kigoma kuwa usafiri wa treni pamoja na uuzaji wa tiketi za treni sasa uko safi na wale watakao kiuka taratibu za kati katika shirika hilo wataachishwa kazi mara moja.

Nape Nnauye ambaye ni Katibu wa NEC itikadi na uenezi CCM akiongoza sherehe za miaka 36 za CCM.


Ngoma kutoka nchini Rwanda iliwavutia watu wengi.
Mtindo huu pia uliwezekana kwa mwana ngoma huyu wa Rwanda.


Wanahabari waliofika katika sherehe hizo za Chama Cha Mapinduzi Mkoani Kigoma.

Rais Kikwete akiwapungia mkono watu waliohudhulia sherehe hizo.

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.