ASKARI POLISI AUWAWA NA MAJAMBAZI KWA KUPIGWA RISASI TAZARA DSM - ITV HABARI.
Askari wa jeshi la polisi ameuwawa na majambazi baada ya kupigwa risasi
ya kichwani huku wengine wawili wakiwa katika hali mbaya baada ya
kujeruhiwa vibaya katika eneo la Mchicha Tazara jijini Dar es salaam.
Source: ITV TANZANIA
Source: ITV TANZANIA
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA