Header Ads

Breaking News
recent

WILLOW SMITH ATOA WIMBO MPYA -'SUGAR AND SPICE'. USIKILIZE HAPA.


Willow Smith, mtoto wa Will Smith aliyepata umaarufu sana kupitia wimbo wake wa 'Whip My Hair', sasa ameachia wimbo mwingine mkali unaoitwa "Sugar and Spice".

Katika ngoma hii mpya "Sugar and Spice" amebadilika na kuimba style tofauti kabisa na ile ya Whip My Hair. Willow Smith mwenye miaka 12 tu anazidi kufanya vizuri na kuwavutia watu wa rika zote. Dakika kumi kabla hajaachia wimbo wake aliandika status kwenye ukurasa wake wa facebook, "Hii ni soundcloud yangu. Nitadondosha wimbo ndani ya dakika kama 10."
.

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.