WANAFUNZI WA CHUO CHA ST. JOHN DODOMA WAANDAMANA - ITV HABARI.
Wanafunzi wa chuo kikuu cha St John Dodoma wamefanya maandamano makubwa wakilaani vitendo vya kuvamiwa, kuibiwa, kubakwa na hata kuuwawa na vikundi vya wahalifu huku wakishinikiza uongozi wa jeshi la polisi mkoa wa Dodoma uwajibishwe kwa kushindwa kuzuia uhalifu chuoni hapo.
Source: ITV TANZANIA
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA