Taarifa zimeeleza kuwa msanii beyonce yuko katika hatua za mwisho kumnunulia mama yake bonge la mjengo utakaogharimu dola milioni 5.9 ukiwa na vyumba sita na mabafu 16.
Beyonce akiwa na mama yake "Tina"
BEYONCE AMNUNULIA MAMA YAKE BONGE LA JUMBA LENYE THAMANI YA DOLA MILIONI 5.9.
Reviewed by KISHINDO TZ
on
Thursday, January 24, 2013
Rating: 5
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA