Askari mgambo wa jiji la Dar es Salaam wamejikuta katika hali ya
sintofahamu baada ya wafanyabiashara ndondogo maarufu kama Machinga
kufanya msako wa kuwakamata na kuwapa kipigo, kisha kuwakabidhi kwa
jeshi la polisi kutokana na madai ya mmojawapo ya askari wa jiji
kujaribu kumpokonya silaha askari polisi aliyekuwa akimtetea mmoja wa
Machinga asinyang`anywe bidhaa zake.
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA