Mji wa Dumila leo umerindima risasi za moto kufuatia Vurugu kubwa za
wakulima kufunga barabara ya Morogoro Dodoma kwa zaidi ya saa 5
wakipinga serikali ya wilaya kutoa maeneo ya wakulima kwa wafugaji
ambapo mtu mmoja amefariki dunia katika vurugu hizo na wengine
kujeruhiwa.
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA