Serikali imetoa saa 24 kwa meli iliyobeba mafuta yasiyokidhi viwango kuondoka. (ITV Habari).
Waziri wa uchukuzi Dr. Harrison Mwakyembe ametoa saa 24 kwa meli
iliyokataliwa kushusha shehena ya mafuta ya diesel kwa kutofikia viwango
vinavyotakiwa kuondoka katika eneo la bahari la Tanzania.
Dr. Mwakyembe ametoa agizo hilo kufuatia taarifa za kuwepo kwa meli hiyo katika eneo la Tanzania tangu kukataliwa kupakua mafuta hayo mwaka jana.
Source: ITV TANZANIA
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA