AU IMEPANGA KUPELEKA VIKOSI VYA KIJESHI MALI - (ITV HABARI)
Umoja wa afrika -AU-umepanga kupeleka vikosi vya kijeshi nchini Mali muda wowote kuanzia sasa ili kuvisaidia vikosi vya majeshi ya Ufaransa, katika mapigano yanayoendelea kati ya majeshi ya nchi hiyo dhidi ya kundi la waasi wa Kiislamu waliovamia eneo la kaskazini mwanchi hiyo.
Source: ITV TANZANIA
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA