SAJUKI AMEFARIKI DUNIA LEO ASUBUHI KATIKA HOSPITALI YA MUHIMBILI JIJINI DAR ES SALAAM.
![]() |
| Sajuki akiwa na mkewe Wastara enzi za uhai wake. |
Breaking News:Msanii Juma Kilowoko (SAJUKI)amefariki dunia
leo alfajiri katika hospitali ya Taifa Muhimbili.Kwa mujibu wa Katibu wa chama
cha waongoza Filamu Wilaya ya Ilala,Rajabu Amiri hivi karibuni Sajuki alikuwa
anasumbuliwa na tatizo la upungufu wa damu. R.I.P
Source: ITV Tanzania

No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA