PRODUCER NISHER KUTOKA ARUSHA ATUA JIJINI DAR KUFANYA VIDEO ZA WASANII.
Nisher kutoka Arusha jana aliingia na ndege ya mchana kwaajili yakuja
kuanza kazi ya utengenezaji wa video ya Dj Choka ya Press Play pamoja na video
nyingine kutoka Bhitz Music Group.
Nisher hatofanya video za Bhitz tu bali amekuja kwaajili ya wasanii wote watakaohitaji video nzuri kutoka kwake na mwisho wa siku mtu mzima atarudi Arusha kuendelea na shughuli zake zakijamii.
Nisher hatofanya video za Bhitz tu bali amekuja kwaajili ya wasanii wote watakaohitaji video nzuri kutoka kwake na mwisho wa siku mtu mzima atarudi Arusha kuendelea na shughuli zake zakijamii.
| Nisher (kushoto) Akiwa na DJ CHOKA katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwl. Nyerere. |
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA