Header Ads

Breaking News
recent

PRINCE WILLIAM NA KATE MIDLETON WATANGAZA TAREHE YA KUZALIWA MTOTO WAO WA KWANZA.

Wanandoa hawa kutoka katika utawala wa kifalme wa kiingereza yani prince William na Kate Middleton wanategemea kupata mtoto mieze michache ijayo.

Taarifa zilizotoka katika utawala wa kifalme wa kiingereza, umeeleza kuwa wawili hawa watapata mtoto wao wa kwanza mwezi Julai mwaka huu. Mtoto huyo ambaye bado hajatajwa jinsia yake atasherekea siku yake ya kuzalia siku moja na mama yake Prince Williams yani Princess Diana aliyefariki miaka iliyopita ambaye pia alizaliwa mwezi Julai moja.

Inasemekana afya ya Kate Middleton  imerejea kuwa nzuri baada ya kuugua na kulazwa hospitalini kwa muda, lakini siku ya Ijumaa alionekana kuwa na afya njema.Kate Middleton wiki iliyopita alitimiza miaka 31.

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.