BIRTHDA YA BLUE IVY - MTOTO WA JAY - Z NA BEYONCE YAGHARIMU MAMILIONI.
WIKI iliyopita mtoto wa Jay z na Beyonce alitimiza mwaka
mmoja.Imeripotiwa na mitandao tofauti tofauti ya Marekani kuwa Sherehe
za B'day ya mwaka mmoja ya mtoto wao wa kike Blue Ivy ziligharimu kiasi
cha Dola za kimarekani laki 2 ambazo kwa pesa za Kitanzania ni kama
Milioni 314 na laki 6 na elfu 50.
Inasemekana keki yenyewe iligharimu dola 2000 ambazo kwa pesa za kibongo ni milioni 3 flani na ushee.Haya wanafanya kazi kwa bidii so si vibaya kutumia kama zipoo.
Source: AnnaPeter.com
Inasemekana keki yenyewe iligharimu dola 2000 ambazo kwa pesa za kibongo ni milioni 3 flani na ushee.Haya wanafanya kazi kwa bidii so si vibaya kutumia kama zipoo.
Source: AnnaPeter.com

No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA