PICHA ZA WASANII WA BONGO MOVIE WALIPOTEMBELEA MRADI WA KILIMO KWANZA KONDOA - DODOMA.
Umoja huu wa wasanii wa Bongo movie, juzi kati ulifunga safari mpaka kondoa kuzindua mradi wa kilimo kwanza katika kijiji cha Kwadelo, madhumuni yakiwa ni kuhamasisha vijana kuwekeza kwa wingi katika kilimo na kuacha kukimbilia kijijini.
Pia serikali ilitoa matrekta 64 kwa kuanzia mradi huo wa kilimo kwanza Kondoa mkoani Dodoma.
Pia serikali ilitoa matrekta 64 kwa kuanzia mradi huo wa kilimo kwanza Kondoa mkoani Dodoma.
Irene Uwoya
JB akitoa nasaha zake.
![]() |
| Wema Sepetu akiwa na wamama |
Richie
JB akiendesha moja la trekta lilotolewa katika mradi huo.








No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA