PICHA ZA CHEGGE WAKATI WA KUTENGENEZA VIDEO YAKE MPYA YA 'USWAZI TAKE AWAY'.
Leo hii mtu mzima Chege Chigunda anafanya video yake mpya aliyoipa jina la
USWAZ TAKE AWAY, Chege anasema huu utakuwa ujio wake mwingine kabisa na
video hiyo amefanya na Adam Juma kutoka Visual Lab, pia katika wimbo huu
Chege amemshirikisha kijana mpya kabisa anajulikana kwa jina la DAINA na
hizi ni baadhi ya picha zilizochukuliwa wakati wa utengenezaji wa video
hiyo.


No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA