Header Ads

Breaking News
recent

PICHA ZA SHAKIRA AKIWA MJAMZITO - BADO ANAMVUTO.

 Msanii wa miondoko ya popo maarufu kwa jina la Shakira, sasa ni mja mzito. Wiki hii mwanadada huyu anayemirikiwa na mzazi mwenzie Gerard Pique, ameonekana kuwa na mimba kubwa na hivi karibuni watapata watoto.

Shakira alitamba sana na ngoma kibao kama "hips don't lie" na nyingine kibao, kwa sasa anamiaka 35.


No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.