Header Ads

Breaking News
recent

MICHELLE OBAMA AKICHEZA MUZIKI NA MTANGAZAJI - LEO IKIWA NI SIKU YAKE YA KUZALIWA.

Leo ni siku ya kuzaliwa ya Mke wa Rais wa Marekani Michelle Obama.Kwenye picha anaonekana akicheza na mtangazaji Ellen katika kipindi cha Ellen Degeneres.Michele Obama ambaye ni mama wa watoto wawili leo anatimiza miaka 49 ni First Lady Mmarekani mweusi kuingia mjengoni.
 Source:annapita.com

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.