Mmoja wa wanamuziki maarufu nchini Nigeria
P Square - Peter Okoye amepata mtoto, baada ya mzazi mwenzake
Lola Omotayo kujifungua mtoto wa kike hivi juzi na kumpatia jina la
"Aliona Okoye".
Na katika ukurasa wake wa Tweeter
Peter Okoye alitupia ujumbe huu.
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA