MWANA HIP HOP DON SAINT - ATOA KITABU KINACHUSU MADHARA YA UPIGAJI PUNYETO NA JINSI YA KUACHANA NAYO.
Rappre kutoka Nigeria "Don Saint" ameachia kitabu kipya kinachoitwa “Emancipation From Masturbation’.Ikiwa ni sehemu ya masomo yake ya chuo ambapo aliweza kufanya utafiti wa madhara na njia ya kuweza kuacha upigaji punyeto kwa jinsia zote mbili.
C.E.O wa So-Plain Entertainment /Naija Music Movement amefunguka kuwa sababu ya yeye kufanya utafiti huu ni baada ya kuona wimbi kubwa la vijana wakizama katika mchezo hatari sana wa kupiga punyeto, hivyo ameamua kuwasaidia kwa kuandika kitabu.
Don Saint ameleza kuwa takribani 80% ya vijana kuanzia miaka 10 - 47 wanafanya mchezo huu, na bado wanaona ni kawaida kwao. Anasema "lakini nilipoamua kufanya utafiti wangu nimegundua kuwa punyeto ni hatari kwa afya hasa wavulana wanapokuwa wakikua na kufikia utu uzima wakiwa wanafanya mchezo huu. Hivyo nilichukua kozi hii ili kuwafahamicha watu kujua kujua madhara yatokanayo na punyeto na jinsi ya kuweza kujinasua katika mchezo huu".
Aliongeza kusema kuwa "mara umalizapo kusoma kitabu hiki, hutokaa ukarudia tena kupiga punyeto, labda kama unataka kuhatarisha maisha na maisha yako ya baadaye. Kitabu kimeelezea nini maana ya punyeto, madhara yatokanayo na punyeto na njia za kutumia kuchana na punyeto".
Huo ndio mpango mzima ambao mwanamuziki huyu DON SAINT kutoka Nigeria ametengeneza kuhusiana na mchezo wa kupiga punyeto. Labda kwa wale msiojua maana ya kupiga punyeto ni kuchezea chezea nyeti zako kimahaba hadi unapomwaga mbegu za kiume au za kike. Kamchezo haka kanafanywa na wanaume na wanawake pia, hasa mashuleni kama shule za boys au girls. Tutafute tu mbinu nyingine kwasababu hii ni hatari kwa afya zetu.

No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA