Mwanadada kutoka katika kundi la Destiny Child; Kelly Rowland ameachia wimbo mpya unaokwenda kwa jina la "Kisses Down Low".
Wimbo huu uko ndani ya album yake mpya iliyoko bado jikoni inayoitwa "Year Of The Woman". Producer wa ngoma hii mpya ni 'Mike Will MakeIt'.
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA