Huu ni wimbo wa msanii
Aliyah ambaye juzi kati wapenzi na mashabiki wake walisheherekea miaka 34 kama angekuwa bado hai, ambapo tokea afariki kwa ajali ya ndege imepita miaka 12.
Album ya mwanadada marehemu Aaliyah inachomoka soon inaitwa
"Enough Said".
.
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA