KARIBUNI LIBENEKE PUB - SAKINA ARUSHA.
![]() |
| Mmiriki wa Libeneke Pub - Woinde Shizza akiwa anapunga upepo nje ya pub yake. |
Libeneke Pub inapatikana maeneo ya Sakina mbele kidogo ya Sakina bar ukiwa unaelekea kwa IDD au Ngaramtoni.Kuna vinywaji, chakula kama nyama choma, Chips na mengineyo.
Tia miguu pande hizo ili ushow love na watu kibao wanaopenda kubadirishana mawazo na kujenga mahusiano mapya na another friends.

No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA