FLAVIANA MATATA AZIDI KUNYAKUA TUZO - "Africas Most Outstanding Model 2012.
Tuzo hiyo ilitolewa kwa mwanamitindo aliyeiletea sifa na
kutangaza Africa kimataifa Flaviana ametingisha anga hizo!!
Ameendelea kumwagika katika maonyesho mengi barani ulaya na
America, huku akiendelea kusaidia watanzania wenzake wenye ndoto ya kufikia
mbali zaidi.....
Source: 8020 Fashion

No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA