Header Ads

Breaking News
recent

RAIS JAKAYA KIKWETE ATANGAZA RASMI MATOKEO YA SENSA YA MWAKA 2012 LEO. (MSIKILIZE HAPA)

RAIS wa Jamuhuri wa muungano wa Tanzania Dr. Jakaya Mrisho Kikwete leo tarehe 31/12/2012 ametangaza rasmi matoke ya takwimu ya sensa ya watu na makazi kwa mwaka 2012, ambapo idadi ya watanzania imeonekana kuongezeka kwa asilimia kubwa zaidi ya vipindi vinne vya sensa tokea sensa ya kwanza kufanyika mwaka 1967 hadi leo ikiwa ni sensa ya tano kufanyika.

MSIKILIZE RAIS KIKWETE AKITANGAZA MATOKEO YA SENSA.
.

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.