MWANAMKE ANAYEMFANANA MICHAEL JACKSON AJITOKEZA NA KUANZA KUFUATA NYAYO ZAKE..
Mwanadada huyu kutoka nchini Ukraine anayefahamika kama "Elena Romanenkova ambaye pia ni mpiga picha, amekuwa akijichukua picha kibao ili afanane zaidi na mfalme wa pop Michael Jackson ambaye alikwisha fariki.
Elena amekuwa akijifunza mitindo mbali mbali ya kucheza ya Michael Jackson..... hebu mtizame hapo chini.
Source: Bossip
Elena amekuwa akijifunza mitindo mbali mbali ya kucheza ya Michael Jackson..... hebu mtizame hapo chini.
Source: Bossip

No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA