Header Ads

Breaking News
recent

MUIGIZAJI MERCY JONSON AONGOZA KATIKA GOOGLE SEARCH FOR NOLLYWOOD 2012.

Ripoti iliyotoka Google hivi karibuni imethibitisha kuwa muigizaji maarufu kutoka Nollywood-Nigeria "Mercy Jonson ndiye muigizaji wa Nollywood anayeongoza kwa kutizamwa na watu wengi katika mtandao wa Google kuliko mastaa wengine wa Nollywood kwa mwaka wa 2012.

This makes her the top trendingHii imemfanya Mercy Jonson kuwa Nollywood celebrity in Google Search for 2012. Muigizaji huyu alishikilia nafasi hii ya kutizawma na mashabiki kibao kwa mwaka 2011 na kuwabwaga mastaa kibao wa Nollywood.

This confirms that interest in the actress among members of the public still remains sky-high. Following is a list of the top 10 trending Nollywood actors in Google Search for 2012, according to Google Zeitgeist.

Top Nollywood Celebrities 2012 (Google Search)
  1. Mercy Johnson
  2. Ini Edo
  3. Tonto Dike
  4. Funke Akindele
  5. Genevieve Nnaji
  6. Jim Iyke
  7. Chika Ike
  8. Van Vicker
  9. Rita Dominic
  10. Stephanie Okereke

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.