MUIGIZAJI ALIYEKUWA AMETEKWA AACHIWA KWA MILIONI N8.
Polisi katika mji wa Owerri nchini Nigeria imeeleza waandishi wa habari wa nchi hiyo kuwa muigizaji Nkiru Sylvanus aliyekuwa ametekwa na watu wasiyofahamika kuwa, ameachiwa baada ya familia yake kuripa fedha kiasi cha milioni 8 N, zilizokuwa zikihitajika na watekaji.
Kamanda wa polisi wa nchi hiyo 'Adisa Boranta' ameeleza kuwa familia ya muigizaji huyo ilikiuka maelekezo iliyoipatia ya kutokubaliana na kuripa fedha za kwa watekaji moja kwa moja, lakini familia hiyo iliyapuuza maelekezo hayo ya polisi na kuizunguka kwa kulipa fedha hizo kwa watekaji.

“They defied our warnings and continued negotiations with
the kidnappers. They went behind us and paid N8 million to them. We have made
some arrests in connection with the case and very soon they will all be
apprehended.” He said

No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA