KIM KARDASHIAN NA KANYE WEST WAMEWEKA WAZI KUWA, WANATARAJIA KUPATA MTOTO.
![]() |
| Kanye West na mpenzi wake Kim Kardashian |
Kanye West ambae natoka na mpenzi wake ambaye ni stori ya mitandaoni kila kukicha - Kim Kardashian, alisimama mbele ya mashabiki na kuamru muziki uzimwe na kuwaambia mashabiki wake wampigie mayowe mama wa mtoto wake, yani akimaanisha Kim Kardashian “Stop the music and make noise for my baby mama,”.
Hatahivyo baada ya msanii Kanye West kuweka wazi kuwa yeye na mpenzi wake yani Kim Kardashian wanatarajia kupata mtoto, alifungua furaha upande wa pili ambapo dada zake Kim Kardashian yani Khloe na Kourtney nao walionyesha furaha yao katika mtandao wa Tweeter.

No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA