KALAPINA ADAI KUDISSIWA NA BOUNAKO KATIKA WIMBO WAKE MPYA.
Msanii Kala Pina pichani amefunguka kuhusu Bou Nako kumdis
kwenye ngoma mpya ambayo Bou Nako ameiachia hivi karibuni nakusema kuwa
anashangaa kusikia hivyo kwani ni muda mrefu ulipita tangu bifu kati yake na
msanii huyo itokee..MSIKILIZE hapo chini..
BuoNako naye alizungumzia sababu za kumdiss Kala Pina kwenye
hiyo ngoma..MSIKILIZE....
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA