Header Ads

Breaking News
recent

ITV HABARI: MWANAMKE AUWAWA KWA KUKATWA KICHWA MKOANI MARA KISHA WAUWAJI KUONDOKA NACHO.


Hofu kubwa imewakumba wananchi wa manispaa ya Musoma na wilaya ya Butiama mkoani Mara, baada ya kuibuka kundi la watu ambalo limekuwa likiwakamata watu barabarani na kuwachinja kisha kuondoka na vichwa pamoja na viungo vyao vingine vya miili, ambapo katika kipindi cha wiki mbili zaidi ya watu kumi wameuawa kwa ukatili huo.

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.