WASANII KIBAO WA ARUSHA NDANI YA CYPHER VIDEO 2 (R.I.P Lexa Julius).
Asili Yetu Tanzania.Copyright
Hii hapo ndo cypher ya pili katika series ya cypher tatu ambaye ina wasani wakubwa na underground wa Arusha. Hiyo cypher ina Daz Naledge, Chabba, JCB, na BoyWonda wa FBG. Hiyo cypher imerokodiwa Fnouk Studios na Sam Timber, imefanyiwa mix na Daz Naledge na beat imetengenezwa na Darsh Pandit wa Wanene Entertainment. Video imerekodiwa na Dark-Q Photography's Darlington Mbasha na lights zimefanyiwa set-up by Nisher Entertainment.
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA