NEW EXCLUSIVE INTERVIEW - BOUNAKO NA FIDO VATO WAWEKA MIKAKATI YAO WAZI WAZI..WASIKILIZE HAPA.
Wakizungumza na Victor Machota katika ukumbi wa Via Via jijini Arusha Fido Vato na Bounako wamesema wamejipanga sana kufanya muziki kama kazi na siyo kujiburudisha. Mengi na yakusisimua wasikilize hapa wakati wakihojiwa na blog hii ya Asili Yetu Tanzania.
| Nilianza kuzungumza na FIDO VATO |
| Then nilihamia kuchimba madini kwa BOUNAKO (N2N) |
| VICTOR MACHOTA Nikimfanyia BOUNAKO mahojiano. |
| Baada ya kikao cha wasanii jijini ARUSHA |
| Machota pamoja na wasanii...... MAHOJIANO NA MASTAA MBALI MBALI YANAENDELEA HAPA HAPA ASILI YETU TANZANIA SOMA MARA KWA MARA. |
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA