Header Ads

Breaking News
recent

MAMA YAKE WALTER CHILAMBO, MSHINDI WA EBSS 2012 WASHUKURU WATANZANIA.

Walter ameonekana akiandika ujumbe huu katika ukurasa wake wa Facebook..."Mama yangu anawashukuru sana, anasema hata kwa wale ambao hawakupiga kura anajua ni kutokana na matatizo mbalimbali ila tulikuwa pamoja katika Maombi hadi ushindi wangu".

WALTER AKIWA NA WASHIRIKI WENZEKE WA EBS

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.