Asili Yetu Tanzania.Copyright
 |
|
Katibu wa Mufti wa Zanzibar, Sheikh Fadhil Soraga akitolewa
katika Chumba cha Huduma ya Kwanza katika Hospitali ya Mnazi Mmoja baada ya
kurushiwa Tindikali na watu wasiojulikana wakati akifanya mazoezi huko katika
Kiwanja cha Mwanakwerekwe.
|
 |
| Sheikh Fadhil Soraga akipandishwa kwenye Gari la
Wagonjwa kwa lengo la kuwahishwa katika Hospitali ya taifa Muhimbili Dar es
Salaam baada ya kurushiwa Tindikali na watu wasiojulikana wakati akifanya
mazoezi huko katika Kiwanja cha Mwanakwerekwe |
 |
|
Wananchi mbalimbali wakishuhudia Katibu wa Mufti wa Zanzibar, Sheikh Fadhil
Soraga akiwahishwa katika Hospitali ya taifa Muhimbili Dar es Salaam baada ya
kurushiwa Tindikali na watu wasiojulikana wakati akifanya mazoezi huko katika
Kiwanja cha Mwanakwerekwe.
(Picha na Yussuf Simai-Maelezo Zanzibar).
|
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA