Header Ads

Breaking News
recent

KAKA WA MICHAEL JACKSON "JERMINE JACKSON AMEIOMBA MAHAKA KUBADILI JINA LAKE.

Kaka wa Michael Jackson - Jermine Jackson.
Jermine Jackson ambaye ni kaka wa Marehemu Michael Jackson ameiomba mahakama iliabalili jina lake na kuitwa "Jacksun".

Jermine mwenye umri wa miaka 57 ameamua kubadili jina lake kwa sababu za kiusanii, kitu ambacho mahakama ya mji wa Los Angeles imepanga kusikiliza ombi lake mwezi February 22. 2013, huku akitakiwa kuwa amelitangaza na kulichapisha katika majarida ya mji huo. Jermine mwenyewe alipoulizwa ni kwanini ameamua kubadili jina lake na kujiita Jacksun, hakusema chochote.

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.