Mjomba wa marehemu Sharo Millionea, Bwana Omary Fundikira
asema marehemu anatarajiwa kuzikwa siku ya kesho, Jumatano. Hii ni kutokana na
msanii mwenzake John Maganga kuzikwa leo.
Pia rafiki wa marehemu bwana Mohamed Ismail ambaye ndiye
aliyemuazimisha gari alilopata nalo ajali, asema ilitakiwa waongozane kwenda
Tanga pamoja ila alishindwa maana alipata majukumu mengine.
|
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA